Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Kwasababu faru ni wachacheSiSidhan kama Ni kweli, sijawai ona video simba akifanikiwa kuwinda na kumla faru
Ndio nature ilivyo hatuwezi kuipnga mkuuSimba hana confidence yoyote bali anategemea mob tu, sio kama wakina chui ambao hata jeshi la chui mmoja linawinda, masimba yanawinda yakiwa kundi
Tembo kila siku anaokoa nyati wanapovamiwa na simba na utakuta simba wako kama 10 lakini tembo akiingia simba wote wananywea. Ni kama ilivyo kwa mamba na kiboko .Mkuu usitudanganye bwana.
We umeona wapi Simba akamuwinda tembo mkubwa!?
Never,simba wakiwa 5-7 huwinda kitoto cha tembo,kiboko.
Tena wakiwa 5-7.
Ila simba HATA WAWE 1000 HAWAWEZI KUMUWINDA TEMBO MKUBWA ABAADAN WALA KIBOKO MKUBWA ABADAAN.
Derby lao huwa si la mchezo ni zaidi ya 7, hivyo kuondoa shari anampotezea na kumpa ubingwa.Wakuu,
Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu.
Nnachojiuliza,
Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia Kama chakula?
Na ukiangalia faru Ni mdogo kwa umbo ukilinganisha na kina Tembo, twiga na kiboko.
Zipo video ingawa wakati mwingi huwinda faru watoto na hapo wanakuwa simba wengi ili wakati wengine wanamuua mtoto wengine wanamzuia mama yake.SiSidhan kama Ni kweli, sijawai ona video simba akifanikiwa kuwinda na kumla faru
Sumba ni mnyama gani mkuu?Simba ni nadra sana kuwinda Sumba
Let's unlearn kwamba simba ndiye mfalme wa nyika. Hii ni ideology ya wazungu. We as Africans do believe mfalme wa nyika ni African Leopard. Chui ni kiumbe hatari zaidi ya simba na ndiye mfalme wa nyika.Wakuu,
Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu.
Nnachojiuliza,
Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia Kama chakula?
Na ukiangalia faru Ni mdogo kwa umbo ukilinganisha na kina Tembo, twiga na kiboko.
Bado haujaona kila kitu.SiSidhan kama Ni kweli, sijawai ona video simba akifanikiwa kuwinda na kumla faru
Nyegere ni namba nyingine kabisa, licha ya udogo wake! Simba mwenyewe huwa anakimbia.simbq hawezi winda nyegere🤣😅😂
Wanaiogopa ile pembe huwa wakikosea kuwadaka pembe inawachana vibayaWakuu,
Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu.
Nnachojiuliza,
Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia Kama chakula?
Na ukiangalia faru Ni mdogo kwa umbo ukilinganisha na kina Tembo, twiga na kiboko.
Chui sio mfalme wa nyika ni simbaLet's unlearn kwamba simba ndiye mfalme wa nyika. Hii ni ideology ya wazungu. We as Africans do believe mfalme wa nyika ni African Leopard. Chui ni kiumbe hatari zaidi ya simba na ndiye mfalme wa nyika.
Our African leaders mara zote huvishwa ngozi ya chui sio ya simba kuonesha mnyama chui ni brave, smart na anawinda kwa akili ya juu sana. Mzuri chini na juu.
Tiger has been used as a representation of courage, honor or monarchy/kings, in many African cultures.
Tuendelee na mada.