Nauliza madhara ya bidhaa aina ya Kiroba

Nauliza madhara ya bidhaa aina ya Kiroba

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Salam wakuu,
Kwa siku nyingi nimekua nikisikia kwamba viroba vina madhara kwa binadamu. Nikawa najiuliza inakua vipi wakati vimepitishwa na shirika la viwango tanzania? Wengine wanasema vinapunguza nguvu za kiume, wengine wanasema vinaua CD4. Mimi naomba maelezo ya kitaalam niweze kujua madhara yake.
NB: kwaio na konyagi si safe?
 
Safi sana.sasa kwa kifupi sana hili ni janga lingine kwa vijana kwani hunyausha ini (liver cirhosis) na kushindwa kufanya kazi na baadae tumbo hujaa maji (ascetis) baada hapo unapata multiple organs failure yaani ini.figo na moyo na baadae ni...........USHAURI ACHANA NA KIROBA SAWA
 
Sawa mkuu
 
Viroba ni noumer,tena hasa ukichukulia upatikanaji wake ni kila kona tena kwa bei nafuu,unaweza kuwa na mtu unaongea nae ukijipindua dakika tatu tu unakuta ashalewa .
 
Viroba n noma, buku 2 tu, uko tungi mbaya kabisa.Kule kwetu vijana wanagonga hii kitu mfano hakuna tena
 
Pombe kali ukizidisha inakuwa na madhara makubwa.
Kunywa kiasi.
Au kama huwezi kunywa wisky kwa staha..badilisha utumie red wine ina mchango katika kuishi kwingi.

Kitu ambacho nilikuwa sikijui
Na nimefahamu kupitia Dr Slaa alipokuwa anakusanya maoni ya wananchi uwanja wa Kampala ni kwamba kiwanda cha Tz distillers ilianzishwa na Nyerere ili itengeneze Pombe ya bei rahisi ili watu wenye kipato cha chini nao wamudu kupata Ulevi kwa garama nafuu ila CCM wameibadilisha hadi leo Pombe inayotengenezwa pale asilimia kubwa maskini hawezi tena kumudu garama yake na Isitoshe CCM wanafuta kiroba ili maskini asiwe na pombe anayoweza kumudu garama yake tena.
 
Kiroba ni common sana aisee, kila kona ya nchi kimekomaa. Adi wa dada siku hizi wanaondoka viroba tu
 
Back
Top Bottom