donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Salam wakuu,
Kwa siku nyingi nimekua nikisikia kwamba viroba vina madhara kwa binadamu. Nikawa najiuliza inakua vipi wakati vimepitishwa na shirika la viwango tanzania? Wengine wanasema vinapunguza nguvu za kiume, wengine wanasema vinaua CD4. Mimi naomba maelezo ya kitaalam niweze kujua madhara yake.
NB: kwaio na konyagi si safe?