Nauliza: Sasa kwa hukumu hii, Mbatia "Jumatatu" anaingia ofisini kama Mwenyekiti NCCR?

Nauliza: Sasa kwa hukumu hii, Mbatia "Jumatatu" anaingia ofisini kama Mwenyekiti NCCR?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Kwa hukumu iliyotolewa na mahakama, Je, Mbatia "Jumatatu" anaingia ofisini kama Mwenyekiti NCCR?

James Mbatia ameshinda kesi aliyoifungua dhidi ya chama hicho, akipinga kuondolewa kwenye uongozi na kuvuliwa uanachama wake.

Mbatia aliemnguliwa madarakani kufuatia mkutano mkuu wa NCCR Mageuzi uliofanyika Septemba 24, 2022, ambapo pia ulimvua uanacama, jambo alilopinga katika shauri la madai nambari 18/2023 (Judicial Review) alilofungua Mbatia dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya chama hicho.

I can imagine a situation Selasini anakataa kuondoka kwenye ofisi...what next?

Soma Pia:
Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani

Ngoja tuone hili saga litaishaje!
 
Back
Top Bottom