Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
Mhhh hiki ni kitendawili kwa kweli....ngoja nikafikirie kisha nitakuja na jibu....Unaona kwa mbali wananchi 'wenye hasira kali' wanamshambulia mtu kwa KUMTUHUMU ni kibaka, wanajiandaa
kumvisha tairi na kumtia kiberiti. Unaposogea unajua ni kaka yako. Na unajua ukijaribu kumtetea na wewe
'unaunganishwa' kwa kutetea mhalifu. Hakuna kituo cha polisi karibu, huna simu mfukoni kwa wakati huo.
UTAFANYA NINI?
MziziMkavu kabla ya kukujibu naomba nikuulize swali;
Unaona kundi la watu linamshambulia mwanamke huku akiwa amevuliwa nguo zote
kwa kuwa amefumaniwa unaposogea unakuta ni mkeo Madame B
"...........Na unajua ukijaribu kumtetea na wewe 'unaunganishwa' kwa kutetea mhalifu. Hakuna kituo cha polisi karibu, huna simu mfukoni kwa wakati huo. UTAFANYA NINI?"

Nitakuita wewe bibie Mamndeni uje umsaidie ninajuwa utakuwa upo karibu kumsaidia Mke mwenzie bibie madameB Hahahahah wewe kwa kupenda uchokozi unauanza mwenyewe akikujibu unakasirika shauri yako mimi simo mchanga wa pwani huo..................MziziMkavu kabla ya kukujibu naomba nikuulize swali;
Unaona kundi la watu linamshambulia mwanamke huku akiwa amevuliwa nguo zote
kwa kuwa amefumaniwa unaposogea unakuta ni mkeo Madame B
"...........Na unajua ukijaribu kumtetea na wewe 'unaunganishwa' kwa kutetea mhalifu. Hakuna kituo cha polisi karibu, huna simu mfukoni kwa wakati huo. UTAFANYA NINI?"
Hawa ndo watanzania ! Ankal Mzizi mkavu, haya mjibu huyu "Mtanzania"
Wanamgombea mzee wa mizizi.. MziziMkavu