Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?

Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?

Light saber

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
4,368
Reaction score
7,935
Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?

Mbowe.
Lema.
Lissu.
Upinzani kwa ujumla.
 
Nimekuelewa mleta mada!

Bila shaka unamaanisha SSH na wenzake hawataki Katiba Mpya sio kwa sababu wanaangalia maslahi ya nchi, kama vile kujenga uchumi kama walivyotuhadaa, bali wanafanya hivyo kwa sababu wao hivi sasa ndio wanaokula keki ay taifa!!
 
Mtoa hoja hii ni mpumbavu,middle class aliyekulia kwenye pampers sio ngozi,Mr.Mbowe anapigania haki ya wote sio masilahi yake binafsi,elewa Mr.Mbowe amezaliwa na kuishi kwenye top class family!

Next time shirikisha ubongo wako pls ,kama wewe u having a big slice of OUR cake usifikiri ni wote,huku Lingusenguse ni balaa hata maji salama hatuna!!
 
Huenda humjui Mbowe, wakati Job anachunga ng'ombe Mbowe alikua anamiliki boat ya uvuvi na kusafirisha nje samaki...alikua muaajiriwa wa BOT, Ni mfanyabiashara since 1980's yaani kuna kipi hajala?
Katiba mpya movement imeanza baada ya kukosa ubunge?

au kabla?
katiba ilikuwa tamu before jpm?
 
Huenda humjui Mbowe, wakati Job anachunga ng'ombe Mbowe alikua anamiliki boat ya uvuvi na kusafirisha nje samaki...alikua muaajiriwa wa BOT, Ni mfanyabiashara since 1980's yaani kuna kipi hajala?
Mbowe na Job wamesoma shule moja Kibaha sec mmoja akiwa A level na mwingine O level.
 
Mtoa hoja hii ni mpumbavu,middle class aliyekulia kwenye pampers sio ngozi,Mr.Mbowe anapigania haki ya wote sio masilahi yake binafsi,elewa Mr.Mbowe amezaliwa na kuishi kwenye top class family!next time shirikisha ubongo wako pls ,kama wewe u having a big slice of OUR cake usifikiri ni wote,huku Lingusenguse ni balaa hata maji salama hatuna!!
Nilijua tuu upper class lazima uje unitukane kwa reply hii itoshe kusema kuwa katiba mpya ni kwa maslahi binafsi
 
Hivi Nyerere angepewa udc na malkia angedai uhuru, hivi wewe ungepewa uwaziri na Samia ungeandika upuuzi huo!
Ukishiba mataputapu inatafutiza cha kuandika.
usimfananishe mwalimu na upumbavu when it comes to nationalism and patriotism ukome.
 
Kwa akili yako unafikiri Kingai ni mjinga kwa anayoyafanya?
 
Kwa uwezo wa kifedha alionao ungekuwa wewe hata nchi ungehama. So jamaa ni mwanaharakati kwelikweli. Sio mburula kama nyie wa buku5
Kwani before Jpm alikuwa wapi kudai katiba mpya?

Swala la sisi sote kula keki ya taifa limeanza kuwa la maana sana baada ya kukosa Nafasi bungeni?
 
Elezea maana ya "kula keki ya Taifa"

Ni watu gani hula hiyo keki na ni akina nani hawali?

Wewe unakula hiyo keki?

Keki ya Taifa ina tofauti na ile ya birthday party?
 
Back
Top Bottom