Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?

Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?

We kumbe bure kabisa madai ya katiba na Tume huru yalikuwepo hata kabla ya JPM unaonekana bonge la kilaza
Sawa kiamkaji... kelele zote za katiba mpya ni kuhusu tume huru nma siyo kuhusu matatizo ya wananchi , kuna sehemu watanzania walisema wanataka tume huru?
au ni kikundi kidogo cha watu wenye uchu wa madaraka na sifa binafsi?
 
usimfananishe mwalimu na upumbavu when it comes to nationalism and patriotism ukome.
Naona uelewa na upeo wako ni mdogo sana sana haufai kuwa memba, wapi nimemfananisha mtu yeyote na mwingine! Inawezekana elimu yako haifanani na jukwaa hili.
Kilichopo kwenye mada ni "wishes" au "ifs", kufikirika kusiko na uhalisia.
Nitajitahidi nione mada yoyote ya maana ambayo umewahi kuileta jamvini.
 
Sawa kiamkaji... kelele zote za katiba mpya ni kuhusu tume huru nma siyo kuhusu matatizo ya wananchi , kuna sehemu watanzania walisema wanataka tume huru?
au ni kikundi kidogo cha watu wenye uchu wa madaraka na sifa binafsi?
Unaposema "wananchi" wanaanzia wangapi?
 
Mbowe.
Lema.
Lissu.
Upinzani kwa ujumla.

Una maana wangetenda maajabu kama kina Profesa Kabudi, Kitila, pole pole, Bashiru na wengine ambao kwa hakika misimamo yao leo na kabla kuhusu katiba mpya ni sahihi kama tu wangekuwa ni watu tofauti?

Kwamba una maana Kabudi, Kitila, Pole pole, Bashiru na wa namna hiyo kuwa kumbe hapo kabla ilikuwa ni njaa zao tu?

Kwamba kumbe hata hawa wasiotaka katiba mpya leo wakiwamo Hangaya, Sirro, Majaliwa na wa namna hiyo ni vile iliyopo inawanufaisha wao kibinafsi tu?

Hiiiiii bagosha!

Umesikika mkuu.
 
Naona uelewa na upeo wako ni mdogo sana sana haufai kuwa memba, wapi nimemfananisha mtu yeyote na mwingine! Inawezekana elimu yako haifanani na jukwaa hili.
Kilichopo kwenye mada ni "wishes" au "ifs", kufikirika kusiko na uhalisia.
Nitajitahidi nione mada yoyote ya maana ambayo umewahi kuileta jamvini.
unazungumzia elimu ipi?
 
ukitaka mwanaCCM akukimbie kwa speeed ya Jet muambie kuhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom