Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
- Thread starter
-
- #21
Sawa kiamkaji... kelele zote za katiba mpya ni kuhusu tume huru nma siyo kuhusu matatizo ya wananchi , kuna sehemu watanzania walisema wanataka tume huru?We kumbe bure kabisa madai ya katiba na Tume huru yalikuwepo hata kabla ya JPM unaonekana bonge la kilaza
Naona uelewa na upeo wako ni mdogo sana sana haufai kuwa memba, wapi nimemfananisha mtu yeyote na mwingine! Inawezekana elimu yako haifanani na jukwaa hili.usimfananishe mwalimu na upumbavu when it comes to nationalism and patriotism ukome.
Wapo waliofika bei wakaunga juhudi kushambulia keki ya taifa, na wapo ambao walikataa kufika bei kwa kufia walichokiamini,Mbowe.
Lema.
Lissu.
Upinzani kwa ujumla.
Unaposema "wananchi" wanaanzia wangapi?Sawa kiamkaji... kelele zote za katiba mpya ni kuhusu tume huru nma siyo kuhusu matatizo ya wananchi , kuna sehemu watanzania walisema wanataka tume huru?
au ni kikundi kidogo cha watu wenye uchu wa madaraka na sifa binafsi?
Mbowe.
Lema.
Lissu.
Upinzani kwa ujumla.
unazungumzia elimu ipi?Naona uelewa na upeo wako ni mdogo sana sana haufai kuwa memba, wapi nimemfananisha mtu yeyote na mwingine! Inawezekana elimu yako haifanani na jukwaa hili.
Kilichopo kwenye mada ni "wishes" au "ifs", kufikirika kusiko na uhalisia.
Nitajitahidi nione mada yoyote ya maana ambayo umewahi kuileta jamvini.
Katiba mpya movement imeanza baada ya kukosa ubunge? au kabla? katiba ilikuwa tamu before jpm?
UNGEWAPA KWANZA HIYO KEKI YA TAIFANauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?
Mbowe.
Lema.
Lissu.
Upinzani kwa ujumla.