Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,305
Sasa unataka nini zaidi ya hapo? Angalia usije kumkera akakukimbia. Vile vimeseji vya kitoto toto visivyokuwa na kichwa wala miguu navyo vinaboa sana!
km vp ivo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unataka nini zaidi ya hapo? Angalia usije kumkera akakukimbia. Vile vimeseji vya kitoto toto visivyokuwa na kichwa wala miguu navyo vinaboa sana!
Nimempa kila kitu jamani mwenzenu huyu
Nimempa kila kitu jamani mwenzenu huyu
Napenda kufahamu tatizo linakuwa wapi??
Mnakuwa na mahusiano na mtu mwanamke/mwanaume kabla haMjado ze nidifuli aahhh sms, simu, email nk kwa sana tu lakini mkisha du uwiii mambo yanabadilika hivi ni kwanini?? Hata ile Sweet, My Love, Darling, Dear nk zinakwisha KULIKONI JAMANI???
Mkjj miye kwa maoni yangu huu mfano wa mvuvi na huyu jamaa aliyekuwa anamfukuzia mtoto ambaye alikuwa haamini kama angempata naona kama haufai. Kwa sababu wengine ukishamfukuzia binti ambaye ulikuwa hauna matumaini ya kumpata sasa na hatimaye ukafanikiwa kumpata basi hapo ndipo unaongeza bidii zaidi ili kujenga penzi lenye nguvu ili asitokee njemba mwingine akamrubuni huyo binti na kuingia mitini. Labda haya ndiyo mapenzi ya akina dot com au mapenzi ya kifisadi. Akishapewa tu basi haonekani tena! anaingia mitini jumla jumla.
Msikie Nelly anavyolalamika baada ya Ashanti kuingia mitini, labda anaweza kumpata tena.
Just A Dream - Nelly | Music Video | VEVO
Je akimpata demu "mkali" zaidi ya yule wa mwanzo ambaye aliona ndio mwisho. Wanasema wazuri bado hawajazaliwa.
Mimi nawewe tayari tumeshakuwa serikali moja swala kujua nilipo halina nguvu hapa mimi nilipo haijalishi wewe nisubiri nitarudi!dahh umenifumbua hasa hilo la uko wapi ndo swali langu la kwanza kabla ya yote nitafata ushauri wako
Tatizo la baadhi ya mademu ukimshirisha kwenye single moja, yeye anataka mtoe ALBUM pamoja!
Napenda kufahamu tatizo linakuwa wapi??
Mnakuwa na mahusiano na mtu mwanamke/mwanaume kabla haMjado ze nidifuli aahhh sms, simu, email nk kwa sana tu lakini mkisha du uwiii mambo yanabadilika hivi ni kwanini?? Hata ile Sweet, My Love, Darling, Dear nk zinakwisha KULIKONI JAMANI???
Kama mmesha DO THE NEEDFUL simu na email za kila saa za nini tena?
Tatizo la baadhi ya mademu ukimshirisha kwenye single moja, yeye anataka mtoe ALBUM pamoja!
Umenikumbusha haya mazungumzo;
WIFE: I wish I was a newspaper, so I'd be in your hands all day.
HUSBAND: I wish too that you were a newspaper that I could have a new one everyday!
Michele umeniacha hoi.napenda sana arguments zako natamani siku moja walau japo nkiuone nikupe japo dinner my dear hilo tu.Kila kitu?unamaanisha hata yale ya kinyume na maumbile??? what does kila kitu means?
Mwanzoni ni kampeni yakila aina kinafata uchaguzi ukisha chagua inamaana umemkubali kuwa mpenzi wako!kinachofatia ni nikuakikisha kampeni zote zinasitishwa na mimi kama mteule nikufatilia majukumu mengine,mfano nipe laki2,nadaiwa,Kama kodi imeisha,mara nimeona nguo nzuri botique fulani,vitu vinavyo fanana nahivyo na wewe sasa nikuakikisha umkeri kwa simu mara uko wapi nataka kuja haaaa ataboreka kinachotakiwa nikumjulia hali nakumwambia nimekumiss!Yeye atakwambia basi njoo mahali fulani tukutane kweli kama umenimiss!
Alitaka kujua kilichomo,kishajua hakuna tofauti na pale sasa anatafuta pengine!
Mwache aende huwezi kuzuia huenda akarudi ila hata asiporudi basi!
Dena Amsi laway ama
Ndiyo mapenzi ya kifisadi hayo au ya dot com. Siyo kila mzuri umuonaye ni lazima umfukuzie.