Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Ukikuta kibua na wali vimechacha hapo utafanyaje???
Unajiandaa kuharisha wakati ukifanya mchakato wa firigisi rosti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikuta kibua na wali vimechacha hapo utafanyaje???
Mara nyingine sasa unakuwa makini ili upate mboga tamu ya kudumu.
Utajuaje kama ni tamu kabla???
Si unaonja kwanza?
Ha ha ha ha unaonja na kukimbia kama sio poa uwiiiiiiiiiiiiiiii
Hivyo hivyo mpaka unakuta tamu, unaweka kambi.
Shauri yako wewe
Usisahau ahadi ni deni............
Nakumbuka sana sijasahau