ebu toa number yako ya form 4 na mwaka uliomalizia tukuangalizia
Jaman wadau wa humu ndan,Me naomba tu msinishushue.mimi mwenzenu niliaply TCU mwaka huu.Na pale chini wameniandikia yale maneno kuwa YOU HAVE BEEN SELECTED.But mpaka nw cjui nmechaguliwa chuo gani na cjui hata cha kufanya.Naomba mnisaidie coz naona mda umekwenda sana.plzzzzz:embarrassed: