Nauliza tu jamani

Nauliza tu jamani

LYNEDOH

New Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Jaman wadau wa humu ndan,Me naomba tu msinishushue.mimi mwenzenu niliaply TCU mwaka huu.

Na pale chini wameniandikia yale maneno kuwa YOU HAVE BEEN SELECTED.But mpaka nw cjui nmechaguliwa chuo gani na cjui hata cha kufanya.

Naomba mnisaidie coz naona mda umekwenda sana, plz embarrassed.
 
Ebu toa number yako ya form 4 na mwaka uliomalizia tukuangalizie
 
Asante sana dearest one kwa msaada wako...nimefanikiwa nashukuru.be blessed
 
Jaman wadau wa humu ndan,Me naomba tu msinishushue.mimi mwenzenu niliaply TCU mwaka huu.Na pale chini wameniandikia yale maneno kuwa YOU HAVE BEEN SELECTED.But mpaka nw cjui nmechaguliwa chuo gani na cjui hata cha kufanya.Naomba mnisaidie coz naona mda umekwenda sana.plzzzzz:embarrassed:

unaenda instute of social work
 
Back
Top Bottom