Nauliza tu...................Wadada huwa mnajisikiaje????!!!!

Nauliza tu...................Wadada huwa mnajisikiaje????!!!!

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2010
Posts
745
Reaction score
23
Ni kawaida kwa sisi vijana tuliopanga vyumba kitaa kuleta vimwana wetu RUM then mnadu the nidfull!!!

Swali ambalo huwa najiuliz ni kwamba wakati wanatoka rum na msela wake unakuta wapangaji wenzio wamekaa nje na wanajua nini kilichokuwa kinaendelea, hivi huwa mnajisikiaje????

J'pili njema.
 
ahsante kwa pumba zako.............hebu niwahi majukwaa mengine
 
songa mbele huko,usichafue hali ya hewa humu...kama hujisikii kujibu topic si unyamaze?:A S 13:

miji2 mingine bana!!.sa ww kakukera nn hapo ....
 
Ni kawaida kwa sisi vijana tuliopanga vyumba kitaa kuleta vimwana wetu RUM then mnadu the nidfull!!!

Swali ambalo huwa najiuliz ni kwamba wakati wanatoka rum na msela wake unakuta wapangaji wenzio wamekaa nje na wanajua nini kilichokuwa kinaendelea, hivi huwa mnajisikiaje????

J'pili njema.

Sio mara zote lazima u do za nidful, na sio kila mwanamke ni kimwana unaweza ukatembelewa na dada ako.
Labda kama uwe unajikamatisha mwenyewe kwa kuona aibu kila ukitoka ndani na demu wako.

Inawezekana unajitengenezea mawazo ya kuona aibu kwa wapangaji wako ukisha do za nidful.
Jiamini kijana. Ila sio kuleta mademu tofauti kila siku, komaa na unaempenda tu, na uwezo wako wa kufikiria na kuona mbali utaongezeka
 
Mi, Getto No no no! haingii mtu wa ku du the needful! hiyo inafanyika viwanja vya ugenini...
 
mbona poa tu, mi nilikuwa nikimtembelea getto yule cha pombe wangu wa enzi zile, kila mtu nadhani anajua naenda kuduu, kuanzia majirani,mama mkwe, ma wifi,na nikimaliza natoka poa tu" uso wenye furahaaa",nakuta mama mkwe kashaniandalia maji ya kuoga.
 
nakuta mama mkwe kashaniandalia maji ya kuoga.

duh, ingekuwa unakuja kwangu, lazima ningeona mimi hiyo aibu, maza anakuandalia maji ya kuoga na jamaa yuko poa tu?????
 
mbona poa tu, mi nilikuwa nikimtembelea getto yule cha pombe wangu wa enzi zile, kila mtu nadhani anajua naenda kuduu, kuanzia majirani,mama mkwe, ma wifi,na nikimaliza natoka poa tu" uso wenye furahaaa",nakuta mama mkwe kashaniandalia maji ya kuoga.

duh!
Huyo mamkwe wa ukwehe!
 
Du siku ukiugua km utawaona na sifa ya kuwatoa kila asubuhi utaiona maana watakutenga na kuogopa kuja gongana hebu kua na uchague mmoja hivyo v2 vyaFANANA
 
Wewe unajisikiaje kwani au unadhani wao tu ndo wanaona aibu
 
Mmmh!! Ngoja nikatulie chumba cha wageni.....hapa kwa sasa hapanifai.
 
Ni kawaida kwa sisi vijana tuliopanga vyumba kitaa kuleta vimwana wetu RUM then mnadu the nidfull!!!

Swali ambalo huwa najiuliz ni kwamba wakati wanatoka rum na msela wake unakuta wapangaji wenzio wamekaa nje na wanajua nini kilichokuwa kinaendelea, hivi huwa mnajisikiaje????

J'pili njema.

Injinia, kwa nn usimuulize huyo mwenzio kwamba anajisikiaje then uje utujuze hapa
 
Back
Top Bottom