NAULIZA TU

NAULIZA TU

Unaona sasa yakhe... Mambo ya urojo yatokea hapa.

Eid utapika urojo?
Ntapika inshallah na bagia za kuungia, kachori, ukwaju, chauro na mayai ya kuchemsha nikuwekee??
 
Kuna mmoja humu jinsi anavyo type kwa kutumia nguvu nahisi ni mtaliano, maana yake ukipitia comment zake Inabidi na wewe utumie nguvu nyingi kusoma. Any way nisimkatishe tamaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo pia wahindi, wachina wakorea,n.k

Kuna mchina na mhindi nimewaacha kwenye uzi mmoja watakua hapa soon.

Mr Miller unamjua! huyu ni Mzungu wa Sweden.

Asprin je? huyu ni Mkorea katokea seoul. Komasimidaa.
Mwambie nimewekeza kwenye kiwanda cha mkaa. Kama anahitaji ajira asione aibu kunibeep
 
Wazungu wanatafuta nini huku manzese
Nenda majukwaaa ya watasha huko Palace international
 
Back
Top Bottom