Beatrice Kingsley
Senior Member
- Aug 20, 2018
- 102
- 104
- Thread starter
-
- #21
Hhh nouma sanawanajua kiswahili siku hizi, ndo hao hao baadhi unaowaona wanakomenti ,kwa kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa upande upi
Ntapika inshallah na bagia za kuungia, kachori, ukwaju, chauro na mayai ya kuchemsha nikuwekee??Unaona sasa yakhe... Mambo ya urojo yatokea hapa.
Eid utapika urojo?
Nialike usiniwekee.Ntapika inshallah na bagia za kuungia, kachori, ukwaju, chauro na mayai ya kuchemsha nikuwekee??
haya kuwa mpole mathee.
hahahaaHata Warusi wamo, Ni-Pm mimi ni Vladimir Putin.
OoohKuna mmoja humu jinsi anavyo type kwa kutumia nguvu nahisi ni mtaliano, maana yake ukipitia comment zake Inabidi na wewe utumie nguvu nyingi kusoma. Any way nisimkatishe tamaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sanaNialike usiniwekee.
[emoji120] [emoji120]Karibu sana
ahahaHata Warusi wamo, Ni-Pm mimi ni Vladimir Putin.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona mchina kashafika hapa.