wewe lazima ni mhalifu tuWakuu poleni na mishughuliko ya hapa na pale!mi nilikuwa nauliza tuu hivi ni kwa nini askari polisi kitengo cha F.F.U huwa wanavaaga miwani meusi ile ya kutishatisha???hivi ni kwa nini yaani ukikutana nao hata wakiwa na safari zao unajiskia kukimbia hata kama hauna kosa!!!
Wakuu poleni na mishughuliko ya hapa na pale!mi nilikuwa nauliza tuu hivi ni kwa nini askari polisi kitengo cha F.F.U huwa wanavaaga miwani meusi ile ya kutishatisha???hivi ni kwa nini yaani ukikutana nao hata wakiwa na safari zao unajiskia kukimbia hata kama hauna kosa!!!
Vumilia humu JF kuna na vichaa, tegemea jibu lolote bali usihamaki, kuna waungwana watakujibu vyema!Mungu wangu mkuu umevuka mataa asee yaani mimi laini!!!
Haahaaaa..!!!Asnt kwa kunifariji mkuu ila huyu jamaa daa!!najiskia kama kanigusa tako asee hii ni zarau!