Nauliza utaratibu wa kubadili jina

Nauliza utaratibu wa kubadili jina

Mkimuyangu

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2022
Posts
1,054
Reaction score
1,947
Nilikuwa naitwa jina fulani, kutokana na Imani yangu ya Dini,jina nililopewa na wazazi wangu,
Baada ya kubadili Dini,mimechagua jina lingine linaloendani na imani yangu, Sasa nilitaka kubadirisha jina, kwenye cheti cha Nida na Paspoti naomba anayejua utaratibu wake anisaidie, Ninakaa Iringa mjini
 
Jina halina uhusiano na dini.
Ila kama ukoo na wazazi wamekukataa ni vizuri ubadili ili kujitoa kabisa na kukata uhusiano kama wao wanavyotaka.
Hata mimi nina mpango wa kubadili jina kuanzia la ukoo mpaka la kwangu. Ni kwasababu baba yangu hanitambui kama mtoto wake.
Kama mzazi na ukoo wako hawana shida usibadili jina , utapata usumbufu wa bure
 
Una 200,000 T/sh mfuko wa SHATI..............

Hati ya kiapo mahakamani (avidavit) ni Bure...

Kuandaa DEED POLL ntakuchaji kidogo...

Kwa Wasio fahamu
Deed poll,
A deed poll is a legal document that proves a change of name. You can change any part of your name, add or remove names and hyphens, or change spelling.

Kulipia tangazo kwenye gazeti...malipo ya serikali utalipia kama sikosei 40,000

Kama utakua seriously nicheki nipate hata kipesa Cha kusukuma siku mbili tatu....

Ikikupendeza 🤓🤓🤓🤓🤓
 
Kabisa, jina sio dini..tumepotoshwa sana, aende usukumani akute kina juma na hassani walokole..

Kutembea tembea kunasaidia., au amelichukia na jina lake pia..sio mbaya.
 
Wewe tumia tuu hilo la "Mkimu Yangu" linatosha
 
Jina halina uhusiano na dini.
Ila kama ukoo na wazazi wamekukataa ni vizuri ubadili ili kujitoa kabisa na kukata uhusiano kama wao wanavyotaka.
Hata mimi nina mpango wa kubadili jina kuanzia la ukoo mpaka la kwangu. Ni kwasababu baba yangu hanitambui kama mtoto wake.
Kama mzazi na ukoo wako hawana shida usibadili jina , utapata usumbufu wa bure
Nabadili jina la kwanza tu,la baba na la ukoo linabaki kama lilivyo
 
Kabisa, jina sio dini..tumepotoshwa sana, aende usukumani akute kina juma na hassani walokole..

Kutembea tembea kunasaidia., au amelichukia na jina lake pia..sio mbaya.
Kikwazo ninapokwenda kuomba Visa, ikiambatana na masomo ninayoenda kusomea, hayaendani na jina
 
Una 200,000 T/sh mfuko wa SHATI..............

Hati ya kiapo mahakamani (avidavit) ni Bure...

Kuandaa DEED POLL ntakuchaji kidogo...

Kwa Wasio fahamu
Deed poll,
A deed poll is a legal document that proves a change of name. You can change any part of your name, add or remove names and hyphens, or change spelling.

Kulipia tangazo kwenye gazeti...malipo ya serikali utalipia kama sikosei 40,000

Kama utakua seriously nicheki nipate hata kipesa Cha kusukuma siku mbili tatu....

Ikikupendeza 🤓🤓🤓🤓🤓
Yaani jina langu mwenyewe nikulipe 200,000?
 
Una 200,000 T/sh mfuko wa SHATI..............

Hati ya kiapo mahakamani (avidavit) ni Bure...

Kuandaa DEED POLL ntakuchaji kidogo...

Kwa Wasio fahamu
Deed poll,
A deed poll is a legal document that proves a change of name. You can change any part of your name, add or remove names and hyphens, or change spelling.

Kulipia tangazo kwenye gazeti...malipo ya serikali utalipia kama sikosei 40,000

Kama utakua seriously nicheki nipate hata kipesa Cha kusukuma siku mbili tatu....

Ikikupendeza [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]

Hiyo laki 2 ni kwa ajili ya nini?
 
Huwa gharama za kila kitu hadi mwanasheria ni 60,000 au pungufu
 
Nilikuwa naitwa jina fulani, kutokana na Imani yangu ya Dini,jina nililopewa na wazazi wangu,
Baada ya kubadili Dini,mimechagua jina lingine linaloendani na imani yangu, Sasa nilitaka kubadirisha jina, kwenye cheti cha Nida na Paspoti naomba anayejua utaratibu wake anisaidie, Ninakaa Iringa mjini
Kama umeingia uislam basi uislam Hauna majina,hata Kama ulikua ukiitwa ng'ombe,we endelea tu na Hilo jina
 
Nilikuwa naitwa jina fulani, kutokana na Imani yangu ya Dini,jina nililopewa na wazazi wangu,
Baada ya kubadili Dini,mimechagua jina lingine linaloendani na imani yangu, Sasa nilitaka kubadirisha jina, kwenye cheti cha Nida na Paspoti naomba anayejua utaratibu wake anisaidie, Ninakaa Iringa mjini
Mbona ulipoamua kujiita mkimuyangu hakuomba ushauri? Wewe badili tu kama ulivyozoea
 
Back
Top Bottom