Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Una 200,000 T/sh mfuko wa SHATI..............Nilikuwa naitwa jina fulani, kutokana na Imani yangu ya Dini,jina nililopewa na wazazi wangu,
Baada ya kubadili Dini,mimechagua jina lingine linaloendani na imani yangu, Sasa nilitaka kubadirisha jina, kwenye cheti cha Nida na Paspoti naomba anayejua utaratibu wake anisaidie, Ninakaa Iringa mjini
Kabisa, jina sio dini..tumepotoshwa sana, aende usukumani akute kina juma na hassani walokole..Jina halina uhusiano na dini.
Ila kama ukoo na wazazi wamekukataa ni vizuri ubadili ili kujitoa kabisa na kukata uhusiano kama wao wanavyotaka.
Hata mimi nina mpango wa kubadili jina kuanzia la ukoo mpaka la kwangu. Ni kwasababu baba yangu hanitambui kama mtoto wake.
Kama mzazi na ukoo wako hawana shida usibadili jina , utapata usumbufu wa bure
Mbeya kuna mpaka akina Ramadhani wamejaa makanisaniKabisa, jina sio dini..tumepotoshwa sana, aende usukumani akute kina juma na hassani walokole..
Kutembea tembea kunasaidia., au amelichukia na jina lake pia..sio mbaya.
Wewe tumia tuu hilo la "Mkimu Yangu" linatoshaNilikuwa naitwa jina fulani, kutokana na Imani yangu ya Dini,jina nililopewa na wazazi wangu,
Baada ya kubadili Dini,mimechagua jina lingine linaloendani na imani yangu, Sasa nilitaka kubadirisha jina, kwenye cheti cha Nida na Paspoti naomba anayejua utaratibu wake anisaidie, Ninakaa Iringa mjini
Nabadili jina la kwanza tu,la baba na la ukoo linabaki kama lilivyoJina halina uhusiano na dini.
Ila kama ukoo na wazazi wamekukataa ni vizuri ubadili ili kujitoa kabisa na kukata uhusiano kama wao wanavyotaka.
Hata mimi nina mpango wa kubadili jina kuanzia la ukoo mpaka la kwangu. Ni kwasababu baba yangu hanitambui kama mtoto wake.
Kama mzazi na ukoo wako hawana shida usibadili jina , utapata usumbufu wa bure
huo ni ubini, jina kamili Athumani, nitakubaliwa kwenda kusoma Roma italy kwa hili jina?halafu niitwe Padri Athumani?Wewe tumia tuu hilo la "Mkimu Yangu" linatosha
Ulishawahi kumuona Mchungaji Ramadhani, au Padri ramadhani?Mbeya kuna mpaka akina Ramadhani wamejaa makanisani
Kikwazo ninapokwenda kuomba Visa, ikiambatana na masomo ninayoenda kusomea, hayaendani na jinaKabisa, jina sio dini..tumepotoshwa sana, aende usukumani akute kina juma na hassani walokole..
Kutembea tembea kunasaidia., au amelichukia na jina lake pia..sio mbaya.
Yaani jina langu mwenyewe nikulipe 200,000?Una 200,000 T/sh mfuko wa SHATI..............
Hati ya kiapo mahakamani (avidavit) ni Bure...
Kuandaa DEED POLL ntakuchaji kidogo...
Kwa Wasio fahamu
Deed poll,
A deed poll is a legal document that proves a change of name. You can change any part of your name, add or remove names and hyphens, or change spelling.
Kulipia tangazo kwenye gazeti...malipo ya serikali utalipia kama sikosei 40,000
Kama utakua seriously nicheki nipate hata kipesa Cha kusukuma siku mbili tatu....
Ikikupendeza π€π€π€π€π€
Una 200,000 T/sh mfuko wa SHATI..............
Hati ya kiapo mahakamani (avidavit) ni Bure...
Kuandaa DEED POLL ntakuchaji kidogo...
Kwa Wasio fahamu
Deed poll,
A deed poll is a legal document that proves a change of name. You can change any part of your name, add or remove names and hyphens, or change spelling.
Kulipia tangazo kwenye gazeti...malipo ya serikali utalipia kama sikosei 40,000
Kama utakua seriously nicheki nipate hata kipesa Cha kusukuma siku mbili tatu....
Ikikupendeza [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Unamkumbuka augustino ramadhan??Ulishawahi kumuona Mchungaji Ramadhani, au Padri ramadhani?
Kama umeingia uislam basi uislam Hauna majina,hata Kama ulikua ukiitwa ng'ombe,we endelea tu na Hilo jinaNilikuwa naitwa jina fulani, kutokana na Imani yangu ya Dini,jina nililopewa na wazazi wangu,
Baada ya kubadili Dini,mimechagua jina lingine linaloendani na imani yangu, Sasa nilitaka kubadirisha jina, kwenye cheti cha Nida na Paspoti naomba anayejua utaratibu wake anisaidie, Ninakaa Iringa mjini
Acha wenge wewe,Jina halina Uhusiano na Dini?Unaweza Kuendele kuitwa Ustaadhi John bila shida,na Unaweza Pia kuitwa Ustaadhi Matango au Apostle Omari.Nabadili jina la kwanza tu,la baba na la ukoo linabaki kama lilivyo
Ndio marehemu askofu Agustino Ramadhani wa kanisa la anglikana Zanzibar na jaji mkuu mstaafuUlishawahi kumuona Mchungaji Ramadhani, au Padri ramadhani?
Mbona ulipoamua kujiita mkimuyangu hakuomba ushauri? Wewe badili tu kama ulivyozoeaNilikuwa naitwa jina fulani, kutokana na Imani yangu ya Dini,jina nililopewa na wazazi wangu,