Nauliza utaratibu wa kubadili jina

Una Bei gani upewe wakili
 
Hiyo laki 2 ni kwa ajili ya nini?
Ya kubrashia viatu plus Nauli na maji ya kunywa na professional fee ya kizalendo kabisaa.......
Atoe laki mbili watu tuingie mzigoni...
πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Yaani jina langu mwenyewe nikulipe 200,000?
Baki nalo maana hata Paka na Mbwa wana majina pia...mkuu huu mchezo hauitaji hasira..πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Affidavit ni 15500 mkuu
 
Asipokutambua haiondoi ukweli kwamba yeye ni baba yako. Hiyo siyo sababu ya kubadili jina. Pia umesema kweli kuwa dini haina uhusiano na jina. Kubadili jina kuna usumbufu sana si kwako tu na kwa watoto wako pia. Nisingekushauri kubadili jina. Unaweza ukaongeza jina kwa ajili ya jamii lakini usibadili rasmi kwenye nyaraka!. Kwa mfano wanawake wakiolewa wanaitwa mama fulani. Hiyo mama fulani inabaki kwenye jamii tu lakini jina rasmi kwenye vyeti na vitambulisho anabakiza jina lake. Ila kupanga ni kuchagua!!
 
Sasa Kwa uelewa wako wewe Wakili unaweza kujiandikia deedpoll na kusaini?
Mimi niko kama kibatala
Sasa Kwa uelewa wako wewe Wakili unaweza kujiandikia deedpoll na

Mkuu yΓ an Last born wetu, mke wangu, dada angu tunae fuatana na mumewe wote ni ma learned lawyer πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€“πŸ€“
Mimi issue za Muhuri kwangu ni Bureee kabisaaaa....
Nasubilia mwenye dau dogo ndiyo tufanye naye biashara,ilianza laki 2 sasa hivi alfu 15 twendeni tu
 
Mimi niko kama kibatala



Nasubilia mwenye dau dogo ndiyo tufanye naye biashara,ilianza laki 2 sasa hivi alfu 15 twendeni tu
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Hiyo kazi Kwa elfu hamsini Wala laki Moja huwezi pata mtu

Kama una ndugu na jamaa wanasheria labda Kwa 100,000_ 150,000
Tena kakusaidia sanaa hapo....
 
Sawa mkuu
 
huo ni ubini, jina kamili Athumani, nitakubaliwa kwenda kusoma Roma italy kwa hili jina?halafu niitwe Padri Athumani?
Ukibatizwa kua mkristo lazima utapewa jina jipya....

Tangu kuzaliwa mpaka makamo haya sijawai sikia padre wa roman Catholic anaiitwa Athumani,Rashid, Mohamed N.k
 
Elfu 20 utamdanganya mkuu.....
maana Kuna malipo ya serikali let's say 40000 Wanalipia Ardhi Kule hapo Bado muhuri wa advocate kwenye kuandaa Avidavit na DEED POLL.....
20,000 hiyo ni kuandikiwa deedpoll tu.
 
Pole sana kwa hiyo changamoto.

Ushauri wangu: usibadili jina kwa sababu tu baba yako hakutambui kama mwanaye.

Baba yako anaweza akawa hakutambui, lakini ndugu zake wanaweza wakawa wanajua ukweli kuwa wewe ni mtoto wa "baba yako"

Hata kama baba yako hakutambui kama mwanawe, ndugu zako hawataacha kukutambua kisa tu baba yako kakukataa

Isitoshe, kama yeye amekataa kukutambua, wewe amua kumtambua hata kama hamuwasiliani. Iwe mnawasliliana au hamuwasiliani, bado ataendelea kubaki baba yako. Hata ukibadili jina, bado utaendelea kubaki mwanaye wa damu ikiwa ndiye aliyekuzaa.

Kwa hiyo, usibadili jina kwa sababu hizo. Labda kama kuna sababu zinginezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…