Nauliza utaratibu wa kubadili jina

Asante sana
 
Jina sio dini,

Vipi kama huko mbeleni ukataka kurudi kwenye imani yako ya mwanzoni? Je utabadiri tena jina?

Unaweza ukaitwa John na ukawa muislam safi au ukawa unaitwa Juma na ukawa mkristo safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…