Ndugu godama interview ya social sciences and humanities ilianza jana tarehe 16/7/2011 na kumalizika leo jumapili kwani ndio wamemaliziya na watu ishirini
Mi niliomba cjaitwa ila namshukuru Mungu coz i tried my best as long as nafasi za kazi zinaendelea kutoka tusife moyo "HATUJUI MIPANGO YA MUNGU ILA AMINI ANA SABABU YA KUKUNYIMA NAFASI ULIYOOMBA LEO ILI AKUPE NZURI ZAIDI KESHO" tusife mioyo tujaribu na kwingine