Nauliza vipi kazi za udom..... Kimeeleweka kweli?

Nauliza vipi kazi za udom..... Kimeeleweka kweli?

Taarifa za awali ni kwamba baadhi ya college zimeshaita watu kwenye interview. kwa mfano college of health and allied sciences interview ni jumatatu tarehe 18/07/2011, natural sciences interview ni Jummanne tarehe 19/07/2011. Mwenye habari kuhusu social sciences atuhabarishe jamvini
 
Maneno ya kujifariji hayo kazi zimeshapata wenyewe kabla ya interview.tusiojulikana juu tunakazi sana
 
Ndugu godama interview ya social sciences and humanities ilianza jana tarehe 16/7/2011 na kumalizika leo jumapili kwani ndio wamemaliziya na watu ishirini
 
udom bwana, hovyo sana...kama hujaitwa kwenye interview uskate tamaa, udom wanatabia ya kuita kwa mafungu. hyo natural science mnayosema tarehe 19/7 kuna jamaa yangu ashaenda mwez uliopita na amefanya interview tayari.
 
Ndugu godama interview ya social sciences and humanities ilianza jana tarehe 16/7/2011 na kumalizika leo jumapili kwani ndio wamemaliziya na watu ishirini

Asante sana ndugu Lulungen, kweli jamaa noma wanapigisha interview hadi jumapili. hiyo imekula kwangu
 
Ulikuwa na kadi ya SISIEMU au ulituma tu bila kuconsider ilo?
 
Nchi hii watoto wa wakulima tumeula wa chuya!ni Pinda anayejiita mtoto wa mkulima mwenzetu ndiye aliyefanikiwa kuwa juu toka coz alisoma enzi za mwl ingekua enzi hizi ingekuwa ngumu,mshkonde mliotoswa 2po wengi 2mwombe Mungu ipo cku 2takuwa juu bila hata kuwa na kadi za ssmm!
 
Mi niliomba cjaitwa ila namshukuru Mungu coz i tried my best as long as nafasi za kazi zinaendelea kutoka tusife moyo "HATUJUI MIPANGO YA MUNGU ILA AMINI ANA SABABU YA KUKUNYIMA NAFASI ULIYOOMBA LEO ILI AKUPE NZURI ZAIDI KESHO" tusife mioyo tujaribu na kwingine
 
Imani ni muhimu sana.tukeshe tukiomba bwana atafanya njia.
 
Mi niliomba cjaitwa ila namshukuru Mungu coz i tried my best as long as nafasi za kazi zinaendelea kutoka tusife moyo "HATUJUI MIPANGO YA MUNGU ILA AMINI ANA SABABU YA KUKUNYIMA NAFASI ULIYOOMBA LEO ILI AKUPE NZURI ZAIDI KESHO" tusife mioyo tujaribu na kwingine

Ni kweli kabisa, nakumbuka nilikosaga nafasi flani ya kazi, niliumia nakujiona mwenye mkosi, sikujua kama Mungu ana sababu zake kwa nini uikose hiyo nafasi. Mungu ana mipango yake kwa kila mmoja wenu, hata kama unaona kama anachelewa, lakini jua bahati yako ipo sehemu flani inakusubiri.

Msife moyo guys, kukosa hiyo nafasi ya kazi sio mwisho wa maisha.
 
Back
Top Bottom