F fiter JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 1,144 Reaction score 79 Feb 10, 2014 #1 hvi huu mchakato wa katiba tuite KATIBA MPYA AU MRADI MPYA?.....mana imekua mradi wa kujitengenezea pesa kwa wanasiasa na watu wengine
hvi huu mchakato wa katiba tuite KATIBA MPYA AU MRADI MPYA?.....mana imekua mradi wa kujitengenezea pesa kwa wanasiasa na watu wengine
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,922 Reaction score 1,149 Feb 10, 2014 #2 He kama wametangaza nafasi za kazi, omba ili nawe utajirike? Au umekosea jukwaa.