Nauliza wadau

Nauliza wadau

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
16,461
Reaction score
35,218
hivi ni kweli msimu ujao wa klabu bingwa ulaya uingereza itaingiza timu tatu tu?

Manake liverpool alitoka kwenye makundi, arsenal, chelsea na man city walitolewa hatua ya kumi na sita bora.
 
Itakuwa vizuri kama wataingiza 3 ila wanaweza wakawapendelea tena kutokana na kuingiza pesa. Au huruma za mashabiki tu.
 
Itakuwa vizuri kama wataingiza 3 ila wanaweza wakawapendelea tena kutokana na kuingiza pesa. Au huruma za mashabiki tu.

ngoja tusikilizie
 
Back
Top Bottom