Nauliza wajameniiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sinai

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
288
Reaction score
47
:mselaπŸ˜€emu wangu kaniuliza leo hii, eti nimewahi kufanya malavidavi kwa kutumia asali? Nimemjibu sijawahi! Kasema basi yeye atanionjesha na nitapata utamu ambao sitakaa nisahau katika maisha yangu yote!! Sasa wazoefu hebu nisaidie, huyu demu anamaanisha nini anaposema mapenzi kwa kutumia asali? Nipo njia panda kwa kweli!:msela:
 
Jamani tumeingiliwa humu, mbona kila siku huyu anakuja na stori ya demu wangu,demu wangu, hamna story zingine jamani?
 
maana yake ni asali wa moyo!!!!!!
 
Jamani tumeingiliwa humu, mbona kila siku huyu anakuja na stori ya demu wangu,demu wangu, hamna story zingine jamani?

Hatuwezi kuingiliwa, huyu mkuu yeye ndio thread alizonazo... tukubali kwamba tuna tofauti kimtazamo mkuu!!
 
Kwa kweli, asali inaweza kutumika kwa njia nyingi sana kwenye malavidavi.

1. Mnapakana kwenye mwili halafu mnalambana
2. unampaka kwenye mabreast na kwenye kitovu halafu unailamba
3. mnamwagiana kwenye nanihii halafu unainyonya.
4. Pia mmoja wenu anaweka kwenye ulimi wake au lips zake halafu wewe unainyonya

DISCLAIMER: msipofanya vizuri itasababisha muichukie asali kuanzia siku hiyo....na hata inaweza kukufanya kuanzia siku hiyo ukisikia harufu ya asali unahisi kichefuchefu....so be gentle.
 
Sa 'kwenye' nanii kuko chumvi chumvi..asali iko sukari sukari...chumvi mix sukari mbona haiendeani?!
 
usiwe na haraka mkuu.we subiria tu akikufanyia ndio utapata jibu la uhakika hapa kila mtu atakisia tu.after all wewe ndio unamfahamu huyo demu kuliko mtu yeyote hapa jf
 
usiwe na haraka mkuu.we subiria tu akikufanyia ndio utapata jibu la uhakika hapa kila mtu atakisia tu.after all wewe ndio unamfahamu huyo demu kuliko mtu yeyote hapa jf

TIGOπŸ˜›eace:
 
Hatuwezi kuingiliwa, huyu mkuu yeye ndio thread alizonazo... tukubali kwamba tuna tofauti kimtazamo mkuu!!

Babu Lao naona hali inazidi kuwa tete mara sijui demu wangu kafanyaje,mara huyu kaibuka na hivi,aa inachosha.
 
Duh!!!Wewe ni MKALI!!!

Haya sina lakusema hapa,
Nawapisha wengine.
 
Sa 'kwenye' nanii kuko chumvi chumvi..asali iko sukari sukari...chumvi mix sukari mbona haiendeani?!

ukiona kuna chumvi ujue ameenda kukojoa halafu either kasahau kunawa, au hakunawa vizuri......ila kitu ikiwa fresh ukaweka asali, hakuna chumvi kabisa.
 
Simple, Muulize yeye mwenyewe usikubali kubali tu!
 
Nimekukubali mkuu uko deep! :first:
 
Jamani tumeingiliwa humu, mbona kila siku huyu anakuja na stori ya demu wangu,demu wangu, hamna story zingine jamani?

Jamani mbona unamshambulia mwenzio, hili si ni jukwaa la mapenzi, au aje na story za do-once hapa? Sio mahala pake, hii ndo sehemu ya malove dave.
 
umempata wapi? kanisani ,msikitini,send off,uwanjua wa fisi/matejoo tripple A/bilican?
ukishanjibu ntakwambia itakuwaje huko chumbani
 
Jamani tumeingiliwa humu, mbona kila siku huyu anakuja na stori ya demu wangu,demu wangu, hamna story zingine jamani?

MUSEE PUNGUSA HASIRA KIJANI IKO NATAKA SAIDIWA.....:tea:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…