Sinai
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 288
- 47
:msela😀emu wangu kaniuliza leo hii, eti nimewahi kufanya malavidavi kwa kutumia asali? Nimemjibu sijawahi! Kasema basi yeye atanionjesha na nitapata utamu ambao sitakaa nisahau katika maisha yangu yote!! Sasa wazoefu hebu nisaidie, huyu demu anamaanisha nini anaposema mapenzi kwa kutumia asali? Nipo njia panda kwa kweli!:msela: