Hata Seth wa IPTL alikuwa na kitambi na unene alio rithi kutoka kwa baba yake lakini Magufuli kamsaidi kukiondoa kile kitambiHahaha ule ni unene wa ukoo hauoni mama yake alivyo? Hii ni ishara kuwa sasa anazeeka hawezi kubaki vile alivyokuwa na angekuwa amezaa ndo ingekuwa hatari zaidi
HahahaHata Seth wa IPTL alikuwa na kitambi na unene alio rithi kutoka kwa baba yake lakini Magufuli kamsaidi kukiondoa kile kitambi
Hahaha. coco bhana natamani nikufahamu nikunyonye vidole vyako, eti kafanyiwa mabadiliko kwenye mwili wake hahaha, kawa fusoKweli habari zimewapita wengi..
Kuna mabadiliko aliyafanyia mwili wake..
Wanaojua zaidi ya niliyoyasoma watamwagika.. napita
Hahaha. coco bhana natamani nikufahamu nikunyonye vidole vyako, eti kafanyiwa mabadiliko kwenye mwili wake hahaha, kawa fuso