Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kapungua bwanaMh...mbona hapungui...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapungua bwanaMh...mbona hapungui...
halafu faida ya muonekano wake ni nini mkuu, huyu ni kati ya watu wasiokuwa na faida ya ustar wao anahangaika tu kama anataka kujifungua kila anachofanya hakieleweki mara siasa mara biashara yaani ovyo ovyo tu sijui haoini wenzake wanachokifanya.Wakuu,
Ni wakati wa kumsema huyu dada yetu mcute maana amekuwa bonge la mama.
Haiwezekani miss wenzie wakina K lyn na Faraja Kotta, Nancy wawe mamiss mpaka leo yeye awe bonge nyanya.
Haiingii akilini kabisa...inamaana ameshindwa kujizuia kula.
Au ni kweli kuwa alitumia masindano kuongeza kalio hewa na sasa zimemfanya awe mbuyu!
Jamani pungua dada...ili muonekano wako uwe mzuri...
hahahah wajina bhana. hadi nywele zitaishiwa protein zikauke ili akome ubishi.Ameshakatwa tumbo now anaharisha tu.
Baada ya mwezi atakonda hadi kucha
Haaa hahaaHata Seth wa IPTL alikuwa na kitambi na unene alio rithi kutoka kwa baba yake lakini Magufuli kamsaidi kukiondoa kile kitambi
Shoga hata wewe wa mjini unaamini? Alienda India kwa ajili ya uzazi naona Evance anafanya kila njia amzalishe.Ndiwoooo. Kakata utumbo.
Nilikumiss we mtuHaaa hahaa
Kama mimi nilivyokua nimekumiss wewe msomaliNilikumiss we mtu
Usijali atapona huo utumbo very soon na atakauka mwili kama Bi.Sandra.Get well soon.
Tena wenzake hao wengine wameshaingia leba zaidi ya mara moja bado wanaonekana[emoji108]Wakuu,
Ni wakati wa kumsema huyu dada yetu mcute maana amekuwa bonge la mama.
Haiwezekani miss wenzie wakina K lyn na Faraja Kotta, Nancy wawe mamiss mpaka leo yeye awe bonge nyanya.
Haiingii akilini kabisa...inamaana ameshindwa kujizuia kula.
Au ni kweli kuwa alitumia masindano kuongeza kalio hewa na sasa zimemfanya awe mbuyu!
Jamani pungua dada...ili muonekano wako uwe mzuri...
haha akiwa kama Bi Sandra watu si watasema kavamia Nyaya za TANESCO?Usijali atapona huo utumbo very soon na atakauka mwili kama Bi.Sandra.
We tuko wote kila Mara Muone, mekumiss piaKama mimi nilivyokua nimekumiss wewe msomali
According To Head gal wa taifaNdiwoooo. Kakata utumbo.
Source ya taarifa zako ?Kweli habari zimewapita wengi..
Kuna mabadiliko aliyafanyia mwili wake..
Wanaojua zaidi ya niliyoyasoma watamwagika.. napita
Eeh.. dada mkubwa alisemaAccording To Head gal wa taifa
Sema HG anaonekana ana beef na wema. Sometimes anaweza akatulisha ma cucumber.Eeh.. dada mkubwa alisema