Nauliza: Wema Sepetu kapungua ubonge?

halafu faida ya muonekano wake ni nini mkuu, huyu ni kati ya watu wasiokuwa na faida ya ustar wao anahangaika tu kama anataka kujifungua kila anachofanya hakieleweki mara siasa mara biashara yaani ovyo ovyo tu sijui haoini wenzake wanachokifanya.

wanaomzunguka nao wapuuzi tu.
 
Wema bwana nampendaga huyu Dada lakini!daaahh!bora akili kuliko uzuri
 
Tena wenzake hao wengine wameshaingia leba zaidi ya mara moja bado wanaonekana[emoji108]
 
Nasikia kakatwa utumbo..Kuweni makini wala supu utumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…