Nauliza

samua

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
1,029
Reaction score
708
Assalaamu alaykum wanajamii hali zenu????mm niko poa[emoji3] [emoji3] [emoji3]......naomba kuuliza Eti

1.kuwa na mke mfupi mume awe mrefu ndo raha au

2.Kuwa na mke mrefu mume awe mfupi ndo raha au

3.Nyote muwe mnalingana kwa vimo urefu ama ufupi ndo raha?????

Binafsi napenda mwanaume mrefu........hata sitojali maneno yenu nichambeni mnavyoweza.......!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umefikiria nn mtoa mada???

Nothing to fear than fear itself
 
Oyoooo asante kwa kutupigia chapuo kama sio promo WANAUME WAREFU
 
Raha mume na mke wawe walingane kimo au mume awe mrefu kidogo kwa mkewe

"Nakwenda Swaziland, a.k.a Mswati IV"[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Umeuliza wakati tiar jibu unalo ya kwamba unataka mume mrefu
 
Joseverest nahisi utakuwa na muonekano huu.

1) Mfupi

2)Mweupe kiasi/maji ya kunde.

3)Unapendelea kuvaa suruali za vitambaa na pana kiasi.

4)Umekomaa komaa

5)Mbishi sana.

6)Una kaji upara kakishkaji.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
umepatia namba 2 hizo nyingine NEGATIVE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…