royalmind
Member
- Sep 11, 2017
- 51
- 46
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Joseverest nahisi utakuwa na muonekano huu.
1) Mfupi
2)Mweupe kiasi/maji ya kunde.
3)Unapendelea kuvaa suruali za vitambaa na pana kiasi.
4)Umekomaa komaa
5)Mbishi sana.
6)Una kaji upara kakishkaji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]