Nauliza

Nauliza

Mahamud_2000

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
200
Reaction score
99
Habar,jaman naomba msaada wa kitaalam,nina mtoto ana umri wa mwaka mmoja na miez 7,kimsingi hapend kula.Nifanye nini ili kumsaidia apende kula??
 
mpe sana mafuta ya samaki , yapo madukani . unipe feedback
 
jitahidi umbadilishie chakula mara kwa mara,pia matunda muhimu...
 
Back
Top Bottom