naulizia banda la JF pale sabasaba

nitakuwa na gfsonwin na Zinduna, tunawafunda na kupaka mafuta ya alizeti viuno vyote vilivyokakamaa kama nondo za madirisha, karibuni!
 
Last edited by a moderator:
LiverpoolFC mi ntakuwa getini kwa ajili wa kuwapokea wageni wote
 
Last edited by a moderator:
Heheheheeee hawa patakuwa full kuuza na banda letu litakuwa juu sana
 
ninazo burger mpaka za maboga...
burger zenye nyama ya wow!wow!wow! (najua kuna watu wamenielewa)
niko vizuri, nimejipanga!...nipo karibu na banda la NDOVU SPECIAL MALT...
BAGAH mzee wa Bagah zenye nyama
 
Last edited by a moderator:
wewe si upo hapo reception? akija spika muambie majina mnayomtambua mkiwa jf, halafu akipita vasco niombee lift ya kwa obama, akipita makamu wake mwambie kuna mtaro umechimbwa mtaani kwetu tunamuomba aje kuzindua... natanguliza shukrani

hahaa! namsubri dhaifu kwa hamu kweli apite lolest. . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…