Naulizia bei za fremu za milango

Naulizia bei za fremu za milango

Dit000

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
710
Reaction score
1,041
Habari wataalamu nauliza fremu za namna hii Zina bei gani?

IMG-20230327-WA0029.jpg
IMG-20230327-WA0023.jpg
 
Ungesema hata mahali ulipo maana hivyo vitu vinazingatia na location bei ya buguruni na mafinga ni tofauti
 
Back
Top Bottom