Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Heshima kwenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema kabisa na majukumu ya kila siku aisee.
Well, naulizia chumba maeneo ya Usa River Arusha kiwe Single Self Contained kikiwa na jiko ndani yake, kama kitapatikana chenye sebule ndani yake itapendeza zaidi wakuu.
Natanguliza shukrani zangu kwenu wadau. Ahsanteni.