Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Ninacho ila kipo TengeruHeshima kwenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema kabisa na majukumu ya kila siku aisee.
Well, naulizia chumba maeneo ya Usa River Arusha kiwe Single Self Contained kikiwa na jiko ndani yake, kama kitapatikana chenye sebule ndani yake itapendeza zaidi wakuu.
Natanguliza shukran zangu kwenu wadau. Ahsanteni.
Ninacho ila kipo Tengeru
Hizo user name zenu zinabariki hadi matokeo yenu.
Me sijui
mkuu mambo vpDaaaaah ofisi ipo Usa River mkuu.
mkuu mambo vp
sorry ulipata ajira tayari
hongera ndugu Mungu ashukuriweYes kiongozi namshkuru MUNGU nimefanikiwa kupata ajira ndugu yangu...!
hongera ndugu Mungu ashukuriwe
ya serikali au shirika binafsi
Em kuja PM kwanza mkuuSerikalini chief...!