Naulizia dawa ya Upara (uwaraza) kama ipo?

Naulizia dawa ya Upara (uwaraza) kama ipo?

Pm nyingi madhara yake nayafaham so siend pm wewe kama unataka kunitapeli ongea tu hapa maana wenye vipara tunasifa ya kutapeliwa kwahiyo usiogope wewe tapeli mpaka utumie pm!
 
unaeza kuzipata wee nipm namba zako nikuunganishe na mtaalam wa hzo mambo


Mi sio muumini wa "mtaalam" kama vibo fanya kama yle bint Tamimu,
hizi issue za pm sizo kabisa utadhani tunauziana mihadarati mkuu.!
 
mkuu inapatikana dar na vip umewah kutumia mwenyewe au?? Na alietumia matokeo vip? Msaada tafadhali

ingia YouTube uone maajabu iaka hayo ni mafuta ni 15000 yakibongo sema nani aletr ndo shida
 
me nna uparana nna 27 years sitak dawa yoyote .babbu yangu likuwa nao sasa dawa ya nini huena ukawa wa kurthi
 
Back
Top Bottom