Kabaizer JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 504 Reaction score 64 Sep 10, 2015 Thread starter #21 Pm nyingi madhara yake nayafaham so siend pm wewe kama unataka kunitapeli ongea tu hapa maana wenye vipara tunasifa ya kutapeliwa kwahiyo usiogope wewe tapeli mpaka utumie pm!
Pm nyingi madhara yake nayafaham so siend pm wewe kama unataka kunitapeli ongea tu hapa maana wenye vipara tunasifa ya kutapeliwa kwahiyo usiogope wewe tapeli mpaka utumie pm!
Kobe JF-Expert Member Joined Jun 17, 2009 Posts 1,794 Reaction score 812 Sep 10, 2015 #22 Mr. PUK said: unaeza kuzipata wee nipm namba zako nikuunganishe na mtaalam wa hzo mambo Click to expand... Mi sio muumini wa "mtaalam" kama vibo fanya kama yle bint Tamimu, hizi issue za pm sizo kabisa utadhani tunauziana mihadarati mkuu.!
Mr. PUK said: unaeza kuzipata wee nipm namba zako nikuunganishe na mtaalam wa hzo mambo Click to expand... Mi sio muumini wa "mtaalam" kama vibo fanya kama yle bint Tamimu, hizi issue za pm sizo kabisa utadhani tunauziana mihadarati mkuu.!
shaks001 JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 1,246 Reaction score 1,070 Sep 10, 2015 #23 "PM" katika ubora wake.
shelumwa JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 516 Reaction score 189 Sep 11, 2015 #24 wanauza bei gani
shelumwa JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 516 Reaction score 189 Sep 11, 2015 #25 Kabaizer said: mkuu inapatikana dar na vip umewah kutumia mwenyewe au?? Na alietumia matokeo vip? Msaada tafadhali Click to expand... ingia YouTube uone maajabu iaka hayo ni mafuta ni 15000 yakibongo sema nani aletr ndo shida
Kabaizer said: mkuu inapatikana dar na vip umewah kutumia mwenyewe au?? Na alietumia matokeo vip? Msaada tafadhali Click to expand... ingia YouTube uone maajabu iaka hayo ni mafuta ni 15000 yakibongo sema nani aletr ndo shida
Prince Akeem JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 884 Reaction score 376 Sep 11, 2015 #26 kubali uzeee mkuuu. upara ni mzuri
Elerai JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 474 Reaction score 139 Sep 11, 2015 #27 me nna uparana nna 27 years sitak dawa yoyote .babbu yangu likuwa nao sasa dawa ya nini huena ukawa wa kurthi
me nna uparana nna 27 years sitak dawa yoyote .babbu yangu likuwa nao sasa dawa ya nini huena ukawa wa kurthi
mukulupapaa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 2,930 Reaction score 1,733 Sep 11, 2015 #28 Mjomba heshima hiyo tulia nayo tu