Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuu
Nimeambiwa kuwa unaweka kwenye room yako.. then from there unakuwa unajitegemea umeme
Most probably mkuu
Kipo ila hakiwezi kukata kinahesabu units unaotumi wewe tuu. Kinaitwa miter separatorKwa wale wajuzi eti kuna kifaa ambacho kinaweza kudivert umeme kila mpangaji akawa anatumia umeme wake na ukakata kivyake tofauti na kuweka luku?
Unaweza kuweka cut out kama hapo inavyoonekana . Kwa mtu msumbufu wa kuweka umeme mnamchomolea tu cut out yakeKipo ila hakiwezi kukata kinahesabu units unaotumi wewe tuu. Kinaitwa miter separator