Naulizia kampuni ya kusafirisha mizigo kwenda Congo tafadhali

Ingia humu DOLPHINS LOGICS
 
Horseshoe Arch
 
Last edited by a moderator:

Sina na wala sijui nikujibuje ndugu...............ila vyovyote utakavyopenda nikujibu ntakujibu aisee moderator kiogwe,KARIBU SANA.
 
wabongo bana,ndo maana wakenya wanatucheka,tena uzi unataka kubadilishwa uwe wa siasa.
hapa mtu anatafuta usafiri mambo ya scandal yanatoka wapi tena?
 
Unajua mtu mzima kama wewe kujitoa akili kama mtoto mdogo wala haipendezi coz mimi nimetoa OMBI hapa jukwaani ili kupata msaada wewe unaanza kuongea kauli zisizo na mantiki yoyote.

Kwenye hii thread kuna member amechangia anaitwa BarakaJr na akanipa namba niwasiliane na nimewasiliana jana mchana akasema amekwama yupo Kitonga kuna lori limezuia njia.

Hivi kweli kwa mawazo ya yenye HEKMA kama ni kweli KIOO na Horseshoe Arch ni ID za mtu mmoja hebu jiulize ningehangaika kuwasiliana na BarakaJr ?,Nimewasiliana mpaka na Aglogistic namba nimepewa kwenye hii hii thread nihangaike kuwasiliana nao hao ya nini ndugu ?.

Punguza Viroba...!.
 
Last edited by a moderator:
wabongo bana,ndo maana wakenya wanatucheka,tena uzi unataka kubadilishwa uwe wa siasa.
hapa mtu anatafuta usafiri mambo ya scandal yanatoka wapi tena?

Yani unajua nimemshangaa sana huyu jamaa aisee na wala sikutegemea kama angekurupuka mtu tena mtoto wa kiume na kuongea kauli kama zake aisee.

Sikuingia JF leo nilikuwa safari naenda Mozambique nimechelewa kutoka Dar hivi usiku huu ndio naingia LINDI hapa niko HOI ntam-check kesho na hoja zake DHAIFU nione anachomaanisha mkuu,JINGA KABISA.
 
Pole kwa safari Pacha nisiyekujua physically ...naona leo ID yangu na yako zimekuwa za mtu mmoja of whom sijui ni zako zote ama ni zangu zote...anyway, duniani kama watu wote tunge behave sawa pasingefaa kuishi...ni lazima haya yawepo
 
Mkuu naona umeamua kuanza matusi badala ya kujibu kwa nini unaleta Tangazo bila kulilipia.ila huyo unayemtangaza utamchafua maana hasafishiki.ila km kwa matusi ngoja nikuache uendelee
 
Mkuu naona umeamua kuanza matusi badala ya kujibu kwa nini unaleta Tangazo bila kulilipia.ila huyo unayemtangaza utamchafua maana hasafishiki.ila km kwa matusi ngoja nikuache uendelee

Kuambiwa hoja dhaifu ndio kutukanwa ndungu ?,ingefaa kujiuliza kwa kauli zako ulizokuja nazo Kabla haukupaswa kuongea kauli kama zile ndugu.

Huyo mtu uliyekazania sijui hasafishiki mtajuana wewe na yeye na sio umuhusishe Horseshoe Arch wala mimi mwanaume hupaswi kuwa hivyo ndugu.
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa safari Pacha nisiyekujua physically ...naona leo ID yangu na yako zimekuwa za mtu mmoja of whom sijui ni zako zote ama ni zangu zote...anyway, duniani kama watu wote tunge behave sawa pasingefaa kuishi...ni lazima haya yawepo

Aisee so thanks mkuu nashukuru kiongozi nimefika Salama nipo Msumbiji now for a week then nageuza mkuu Pacha.

Naona jamaa kageuka kuwa moderator ameamua kutupa ID zaidi ya moja asee,ila sio kosa lake yafaa kumsamehe bure tu kiongozi.
 
Uwe na wakati mwema...ukirudi niletee ''mchumba'' kama zawadi!
 
Uwe na wakati mwema...ukirudi niletee ''mchumba'' kama zawadi!

Hahahaaaa thanks a lot mkuu huku wachumba wapo sana sana wabongo warwanda warundi wasenegal ila wanajiuza kiongozi na kuna sehem na sehem zao pia ila asilimia kubwa kireno kinazingua aseee hawa jamaa hata kiingereza tabu aseee.

Ila sisi tumekuja kuangalia soko la biashara ya maziwa kiongozi kwa kiwango kikubwa ni Maziwa aina ya Cowbell from Dar to Mozambique.
 
Hahahaaaa thanks a lot mkuu huku wachumba wapo sana sana wabongo warwanda warundi wasenegal wanajiuza kiongozi na kuna sehem na sehem zao pia ila asilimia kubwa kireno kinazingua aseee hawa jamaa hata kiingereza tabu aseee.

Ni kuongea nao kwa lugha za ishara kama kwenye soka!
 
Ni kuongea nao kwa lugha za ishara kama kwenye soka!

Hahahaaa wanaongea Kiswahili mkuu ila wenyewe ndio kireno mtindo mmoja no Swahili no English ila uzuri tuna mwenyeji wetu ndio anatuguide.
 
Hahahaaa wanaongea Kiswahili mkuu ila wenyewe ndio kireno mtindo mmoja no Swahili no English ila uzuri tuna mwenyeji wetu ndio anatuguide.

Kipindi hiki cha baridi nikipata hata mmoja ambaye ni used kidogo atafaa kwa matumizi binafsi!
 
Kipindi hiki cha baridi nikipata hata mmoja ambaye ni used kidogo atafaa kwa matumizi binafsi!

Hahahaha ni kweli kabisa kiongozi ila kwa hii team niliyonayo huku aisee wako kinidham mno kiasi kwamba ni ngumu mno kudeal na wachumba kiongozi upo mkoa gani mkuu ?.
 
Hahahaha ni kweli kabisa kiongozi ila kwa hii team niliyonayo huku aisee wako kinidham mno kiasi kwamba ni ngumu mno kudeal na wachumba kiongozi upo mkoa gani mkuu ?.

Nipo Dar mkuu, nimekuja kuuza tu mazao kisha nirudi shamba msimu wa kilimo ukianza
 
Nipo Dar mkuu, nimekuja kuuza tu mazao kisha nirudi shamba msimu wa kilimo ukianza

Ooh okay let me check u pm kiongozi tunaweza kuongea mawili matatu I hope ningekupa namba ila huku ita-cost sana Mozambique to Tz na ningekuwa na android tungeweza kuongea whatsApp ila sina android kwa hapa let me check u pm kiongozi tutete walau...!.
 
Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…