KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Hii haithibitishi kwamba ndio hujatapeli.Huduma ya skrill, bado ipo na kilasiku miamala inafanyika, Kutuma na kupokea fedha Tangua 2017 hadi sasa.
View attachment 1874952
Manunuzi mtandaoni
View attachment 1875061
View attachment 1874965
Asingefanya hivyo, asingeweza pata wa kuwatapeli.Mimi niliwahi kumtumia Mwl.RCT kuagiza bidhaa fulani kwa laki na nusu,aliniambia nitapata baada ya wiki tatu.Lakini mzigo ule niliupata kabla ya hizo wiki tatu.
Sasa mkuu huyu mtu si bado yupo kwanini asichukuliwe hatua?Asingefanya hivyo, asingeweza pata wa kuwatapeli.
Halafu hiyo hela yako ni pengine aliona ni ndogo.
Kwani nyie mnashindwa kuagiza wenyewe mpaka mtumie watu?Mimi niliwahi kumtumia Mwl.RCT kuagiza bidhaa fulani kwa laki na nusu,aliniambia nitapata baada ya wiki tatu.Lakini mzigo ule niliupata kabla ya hizo wiki tatu.
Wana yao hao... Waseme vizuri tu... Lakini sizani kama waliagiza kweli kwa Mwl.RCT ana weza Fanya jambo la hivyo na kama ingetokea hivyo Uzi wake usinge kuwa hai mpaka Leo...Kama hadi mwl RCT kawa tapeli basi mwisho wa dunia umefika
Mtu anaye fahamika kuna na ofisi... Na wengi wana fahamu ofisi yake...Mimi niliagiza kupitia kwake mara 2....nimenunua xiaomi phones mbili....zote nilizipata ndani ya wiki tatu..baada ya kumtumia hela....
Siku ya kuchukua mzigo nilienda ofisini kwake posta....pia sikumpata...ila alikuwa aneacha maagizo.....
Mimi binafsi sina ujuzi mkuu.Kwani nyie mnashindwa kuagiza wenyewe mpaka mtumie watu?
Hii ikifka iksoma network nakupa laki moja mark meSoon naingiza mtambo[emoji6]View attachment 1876807
NimemarkHii ikifka iksoma network nakupa laki moja mark me
Mbona sijakusingizia wewe! Au kuna members wangapi humu, afu nimchague yeye!? Huwezi tumia akili hata kidogo, au hujawahi miliki akili.?Mtu anaye fahamika kuna na ofisi... Na wengi wana fahamu ofisi yake...
Akuingize king kienyeji?
Huyo jamaa aongee vizuri aweze eleweka na Nina imani Mwl.RCT na jamaa wata wasiliana kumaliza swala hili
Boss huyo Mwl.RCT Mimi kwake nimesha agiza vitu vingi zaidi ya USD15,000 Kwa Mara moja...Mbona sijakusingizia wewe! Au kuna members wangapi humu, afu nimchague yeye!? Huwezi tumia akili hata kidogo, au hujawahi miliki akili.?
Usitafute umaarufu au discount Kwa kupotosha au kujifanya unajua Sana.
Unaenda kutapeliwa. Simu inaitwa Phone12 ProMax tena Kwa 267k badala ya iPhone 12 pro max. Wachina bhana.Soon naingiza mtambo[emoji6]View attachment 1876807
Biashara yeyote huwa na changamoto wote mnachosema huwenda mkawa mko sahihi kwaiyo ni swala tu la yeye kukubali au kukata kwa reasonable evidences..Boss huyo Mwl.RCT Mimi kwake nimesha agiza vitu vingi zaidi ya USD15,000 Kwa Mara moja...
Nabado Uzi wake una endelea hauna kashfa ule Uzi na unge kuwa wa kitapeli jf wange ufunga...
Ktk watu ma elfu ndani na nje ya tz anao wahudumia na ofisi zake zina fahamika zilipo, je ulichukua hatua gani kumtafuta au kufika ofisini kwake?
Watu wana kuangalia na kusikitika sababu wengi wametumia huduma yake na mrejesho ni chanya...
Mimi nimetuma USD 15,000 na mzigo nililetewa nyumbani, TBS sijui tra zote kafanya yeye Mimi nimemlipa gharama tu ktk a/c yake ya equity bank ya USD
Simjui sija wahi onana nae... Watu wana fika wana sema mzigo tumeagizwa na mwalimu tukuletee...
Elezea kinaga ubaga, mwalimu nilikulipa ushahidi huu lakini huduma sjapata, nimefanya juhudi kadhaa kukutafuta lakini una nikwepa, ushahidi ni huu hapa na majibu uliyo nipatia si ya kiungwana...
Wewe una kuja una weka taarifa haina mbele wala nyuma...
Nenda ktk Uzi wake, kaangalie nimeagiza bidhaa na nimepokea nyingi tu, na ikiwapo huo mzigo wa mamilioni... Na wengine wana endelea kuagiza...
Si shabikii utapeli, ila elezea kinaga ubaga na yawezekana hata jf na wadau wengine waka kusaidia...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu migogoro yako na watu umemaliza?? Maana una tuhuma nyingi sana yani.