G gasgas JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 1,092 Reaction score 986 May 29, 2022 #1 Habari za jioni. Natafuta hii kitu inaitwa Oatmeal, ni nzuri sana kwa mahitaji ya Protein mwilini. Wapi zinauzwa niweze kununua
Habari za jioni. Natafuta hii kitu inaitwa Oatmeal, ni nzuri sana kwa mahitaji ya Protein mwilini. Wapi zinauzwa niweze kununua
M Msichana wa jana Senior Member Joined Aug 23, 2019 Posts 101 Reaction score 143 May 30, 2022 #2 gasgas said: Habari za jioni. Natafuta hii kitu inaitwa Oatmeal, ni nzuri sana kwa mahitaji ya Protein mwilini. Wapi zinauzwa niweze kununua Click to expand... Ukiingia supermarket yeyote au hata duka mangi kubwa utapa the most common brand ni quaker oats.
gasgas said: Habari za jioni. Natafuta hii kitu inaitwa Oatmeal, ni nzuri sana kwa mahitaji ya Protein mwilini. Wapi zinauzwa niweze kununua Click to expand... Ukiingia supermarket yeyote au hata duka mangi kubwa utapa the most common brand ni quaker oats.
L LOVINTAH GYM JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 459 Reaction score 653 May 30, 2022 #3 sio protein tu, hata fiber ambayo inasaidia kuepuka tatizo la constipation, supermarket nyingi wanazo
sio protein tu, hata fiber ambayo inasaidia kuepuka tatizo la constipation, supermarket nyingi wanazo