Naulizia soko la Maimoria Moshi

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Hili soko huwa linakua ni siku gani limechangamka? Nahitaji kwenda huko kununua nguo na viatu watu wanalisifia sana hapa Moshi na Arusha ila sijawahi kufika

Unashuka kituo gani kwa mtu anayetokea Arusha???

Na huwa ni siku gani linakua limechangamka?
 
jnne na ijumaa..Ila ukitaka vitu vizuri nenda jnne ndo wanakua wanafungua mzigo mpya.
 
Hili soko huwa linakua ni siku gani limechangamka?nahitaji kwenda huko kununua nguo na viatu watu wanalisifia sana hapa moshi na arusha ila sijawahi kufika

Unashuka kituo gani kwa mtu anayetokea arusha???

Na huwa ni siku gani linakua limechangamka?
J4 na ijumaa... Ukitoka chuga ww shuka memorial... Ijumaa vitoto vya shule vingi especially vya mosh technical na karanga secondary...lkn bei ni nzuri Sana hutojutia
 
J4 na ijumaa... Ukitoka chuga ww shuka memorial... Ijumaa vitoto vya shule vingi especially vya mosh technical na karanga secondary...lkn bei ni nzuri Sana hutojutia
Asante sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…