Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Wadau wa michezo habari zenu.
Nauliza kwa hapa Dar ni wapi naweza kupata mashine ya kumfanyia mazoezi ya kukimbia au kutembea kama zile zinazopatikana gym.
Naomba kuelekezwa mahali na duka lilipo.nahitaji kua nafanyia mazoezi nyumbani badala ya kwenda gym.
Msaada tafadhari.
Mtu akiniambia bei na ubora wa mashine nitamshukuru sana.
Natanguliza shukurani.