sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Nimeona kabla ya kufika tarehe 1/04/2022 niwakumbushe Wana JF ya kuwa hilo hapo ni kaburi la kijana wetu mtoto wetu Akwilina Akwilin aliyefariki kwa kupigwa risasi Na Askari polisi aliye kuwa anazuia maandamano ya Chadema.
Polisi alifyatua risasi na kuua mwananfunI ambaye hakuwa hata kwnye maandamano.
Ukiangalia hapo kwenye pcha ni rafiki yake kipenzi walie soma pamoja ameenda kumsalimia rafiki yake akiwa kaburini hakuishia hapo akaamua kumpa pole mzazi aliye uza kahawa, ndizi na kitu aliacha kujenga nyumba Bora akawekeza kwa mtoto Tena mtoto wa kike jamani!
Hii inaumiza ukiangalia vizuri mzazi alitemfikisha mwanae chuo kikuu yeye aliishia kuishi nyumba ya udongo.
Kwa taarifa za chini chini skari aliyeua mtoto Huyu Bado yupo kazini na aliamishwa kituo tu, yaani ni sawa yule aliyemtolea nape bastora alihamishiwa mtwara Ili kufichwa ila hakujua kuwa nape ni wa huko huko, sasa yupo serooooo
Naumia Nalia naomba jeshi la polisi lilipe fidia hata kwa kumjengea nyumba Huyu Mzee,ingawa najua Mzee wa kichaga mnaweza mjengea nyumba alafu akafugia nguruwe.