Askofu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2009
- 1,664
- 87
Alianza hivi....
Kisha akajumuika nao...
Lakini....
Mpendwa Hope... Nakushauri uonane na wataalamu wa afya... Kila la Kheri
EEH!.....
haya fl1,carmel,nyamayao KAZI KWENU
Kisha akajumuika nao...
basi njoo kwangu mimi MJOMBA...
niko ki-praktiko zaidi
Lakini....
Mjomba wewe sio msaada kabisa.( hilo swala la kua kipraktiko ndio naliogopa, siwezi kumsaliti Mume wangu hata kwa mtutu)
Mpendwa Hope... Nakushauri uonane na wataalamu wa afya... Kila la Kheri