Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnh acha kutunga hadithi...condom zinanukaje mpaka mtu wa meza ya jirani usikie?
Neema hujambo mama? Heri ya Pasaka
Nimekaa bar naangalia show amekuja mwanamke na njemba wamekaa meza ya jirani wananuka harufu ya condom sijui jamaa limetafunia kwenye gari au pagale yaani hata show sifaidi nimeharibiwa utulivu.
Nimekaa bar naangalia show amekuja mwanamke na njemba wamekaa meza ya jirani wananuka harufu ya condom sijui jamaa limetafunia kwenye gari au pagale yaani hata show sifaidi nimeharibiwa utulivu.