Naumizwa sana na namna ambavyo TISS inakuwa ni ya siri kweli kweli, vijana ambao tuna project zetu sometimes tunahitaji sana support yenu

Pole mkuu
Kama umeshawahi kuona neurons za mwilini mwako basi unaweza kujenga mahusiano na hao makirikiri.

Kwa afya ya Taifa, hatuhitajj kuwajua bali tunahitaji weledi wao kwa ajili ya nchi kusonga mbele.

Kwa sasa wanatumika na CCM watake wasitake. Sisi wananchi ndo wenye turufu ya kuwatoa huko kwa kura zetu
 

Kama kuna watu wanakufelisha na hawakupaswa kukufelisha, ujue huku TISS nako kuna wanadamu kama wao, pambana kijana uachd ndoto za hovyo.
 

πŸ€”πŸ€”
 
Hapo alipo ni usalama na mshahara wake ni Mapato yake ya Kilasiku. 😁😁
 
Tutajie mfumo unaotumika katika vitu unavyoviita nyeti ili tujue kama ni nje au ndani.

Mm namaanisha kuwa product ambayo ishakamilika. Maana hata hao wachina na warusi wanatumia hizo hzo programing language. Kama wachina program zao nyingi wamezuia backdoor, mfano tu Huawei mpaka USA wamezuia wananchi wasitumie kwa sababu akuna sehemu ya kuvujisha data. SIJUI UMENIELEWA BOSS Peril22
 
Nimeelewa ulichokusudia nielewe mkuu.
 
KIjana una mawazo mazuri sana achana na hao wanaokukatisha tamaa. Endelea kupambana siku moja mambo yako yatakuwa mazuri utalisaidia taifa lako kama ambavyo unatamani. Usishagae siku moja ukapigiwa simu!
 
Nimeelewa ulichokusudia nielewe mkuu.

Mfano leo USA wakitaka kutrack simu yako unayo tumia. Wana acess ya kila kitu ktk simu yako. Ukiwa online au ktk internet wanafanya chochote wanachotaka. Sasa fikilia ktk sehemu zetu nyeti za usalama. Uwo nmekupa tu mfano. Ma proffesor wetu wa IT wamegundua nn cha kuisaidia hiyo fani. Mm sijaona mpaka hapa nilipo fika. Kama wachina na warusi waliweza sisiatuwezi kushindwa. Tatzo siasa nyingi sana. Mm rafiki yangu yupo china wamemshikilia wanampa kila kitu maana yupo vizuri ktk mambo ya Programing. Alafu kuna mtu mmoja anaitwa yusuph kileo sijui yupo wapi siku hzi alikuwa pale DIT. Mzee wa cyber, talent nyingi wanachukuliwa na wazungu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nenda ofisi zao zinazojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…