Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kudhani, unless kama unamaanisha hardwaresNadhani ata mifumo mingi ya police na jeshi wanatumia ya nje. 🤔
Pole mkuuNatamani Sana Kuona Mnakuwa Front Line Kwenye Baadhi ya Vitu. Naumizwa Sana na namna Ambavyo hii idara inakuwa ni ya Siri kweli kweli.
Siku Endapo nitapata madaraka huko nitahakikisha mnakuwa na Urafiki na Raia. Nitaanzisha angalau project ya Mahusiano Kwa umma.
Vijana ambao tuna project zetu sometimes tunajikuta tunahitaji Sana support yenu baadhi ya sehemu. Yaani hii bongo inafikia kipindi Mtu wa kawaida mwenye madaraka anakufelisha Hadi unahisi nikimpata Mtu walau Mmoja Wa Tiss Basi hapa natoboa.
Wakuu msijifungie, msitutenge tunahitaji support yenu wajomba. Ipo maana kubwa Sana ya uwepo wa idara ya Usalama wa Taifa.
Subiri 2089Natamani tusitumie mifumo ya kizungu. Ma develooer wa kibongo sijui wanafanya nn sio wabunifu. Kama fb, twitter tunatakiwa na sisi tutumie za kwetu ili kulinda data zetu
Natamani Sana Kuona Mnakuwa Front Line Kwenye Baadhi ya Vitu. Naumizwa Sana na namna Ambavyo hii idara inakuwa ni ya Siri kweli kweli.
Siku Endapo nitapata madaraka huko nitahakikisha mnakuwa na Urafiki na Raia. Nitaanzisha angalau project ya Mahusiano Kwa umma.
Vijana ambao tuna project zetu sometimes tunajikuta tunahitaji Sana support yenu baadhi ya sehemu. Yaani hii bongo inafikia kipindi Mtu wa kawaida mwenye madaraka anakufelisha Hadi unahisi nikimpata Mtu walau Mmoja Wa Tiss Basi hapa natoboa.
Wakuu msijifungie, msitutenge tunahitaji support yenu wajomba. Ipo maana kubwa Sana ya uwepo wa idara ya Usalama wa Taifa.
Acha kudhani, unless kama unamaanisha hardwares
Apoapo ulipo TISS wapo.ko fanya kitu cha maana watakuona utashangaa siku unaitwa.sio kama unavotaka ww
Pole mkuu
Kama umeshawahi kuona neurons za mwilini mwako basi unaweza kujenga mahusiano na hao makirikiri.
Kwa afya ya Taifa, hatuhitajj kuwajua bali tunahitaji weledi wao kwa ajili ya nchi kusonga mbele.
Kwa sasa wanatumika na CCM watake wasitake. Sisi wananchi ndo wenye turufu ya kuwatoa huko kwa kura zetu
Hapo alipo ni usalama na mshahara wake ni Mapato yake ya Kilasiku. 😁😁Hapo ulipo hata wewe ni usalama wa taifa sio mpaka uwe tiss ndo uwe usalama wa taifa fanya usalama kwa taifa lako kwa nafasi ulionayoo.....au mnadhani usalama wa taifa ni kupeleka umbeyaa Ikuluu.........we needs change vijanaa Mntavishwaa vijoraa soon.....
Hapo alipo ni usalama na mshahara wake ni Mapato yake ya 🤔🤔🤔
Tutajie mfumo unaotumika katika vitu unavyoviita nyeti ili tujue kama ni wa nje au ndani.Natamani tuwe kama wachina, Russia au Iran. Katika vitu nyeti kunakuwa na mifumo yetu sio mifumo ya nje.
Tutajie mfumo unaotumika katika vitu unavyoviita nyeti ili tujue kama ni nje au ndani.
Nimeelewa ulichokusudia nielewe mkuu.Mm namaanisha kuwa product ambayo ishakamilika. Maana hata hao wachina na warusi wanatumia hizo hzo programing language. Kama wachina program zao nyingi wamezuia backdoor, mfano tu Huawei mpaka USA wamezuia wananchi wasitumie kwa sababu akuna sehemu ya kuvujisha data. SIJUI UMENIELEWA BOSS Peril22
KIjana una mawazo mazuri sana achana na hao wanaokukatisha tamaa. Endelea kupambana siku moja mambo yako yatakuwa mazuri utalisaidia taifa lako kama ambavyo unatamani. Usishagae siku moja ukapigiwa simu!Mm namaanisha kuwa product ambayo ishakamilika. Maana hata hao wachina na warusi wanatumia hizo hzo programing language. Kama wachina program zao nyingi wamezuia backdoor, mfano tu Huawei mpaka USA wamezuia wananchi wasitumie kwa sababu akuna sehemu ya kuvujisha data. SIJUI UMENIELEWA BOSS Peril22
Nimeelewa ulichokusudia nielewe mkuu.
Sawa mkuuTuma barua kwa DG WA TISS
Ahsante Mkuu [emoji120]Kama kuna watu wanakufelisha na hawakupaswa kukufelisha, ujue huku TISS nako kuna wanadamu kama wao, pambana kijana uachd ndoto za hovyo.
Nenda ofisi zao zinazojulikanaNatamani Sana Kuona Mnakuwa Front Line Kwenye Baadhi ya Vitu. Naumizwa Sana na namna Ambavyo hii idara inakuwa ni ya Siri kweli kweli.