Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Nadhani hata mifumo mingi ya polisi na Jeshi wanatumia ya nje. [emoji848]
Most of mifumo mingi. Bi recently tu hapa serikal imeanza ku invest kwenye mifumo ya ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hata mifumo mingi ya polisi na Jeshi wanatumia ya nje. [emoji848]
Most of mifumo mingi. Bi recently tu hapa serikal imeanza ku invest kwenye mifumo ya ndani
Njoo dmKuna system nmetengeneza wangepata police nadhani mambo ya kuibiwa watu simu au wakitaka kumtafuta mtu inakuwa rahisi. Kama kuna mtu aje atupe muhongozo jamanii [emoji52]
We jamaa unanichekesha ushapona kitu gani nyeti????Natamani tuwe kama wachina, Russia au Iran. Katika vitu nyeti kunakuwa na mifumo yetu sio mifumo ya nje.
TISS hawawezi kukusaidia chochote.Natamani Sana Kuona Mnakuwa Front Line Kwenye Baadhi ya Vitu. Naumizwa Sana na namna Ambavyo hii idara inakuwa ni ya Siri kweli kweli.
Siku Endapo nitapata madaraka huko nitahakikisha mnakuwa na Urafiki na Raia. Nitaanzisha angalau project ya Mahusiano Kwa umma.
Vijana ambao tuna project zetu sometimes tunajikuta tunahitaji Sana support yenu baadhi ya sehemu. Yaani hii bongo inafikia kipindi Mtu wa kawaida mwenye madaraka anakufelisha Hadi unahisi nikimpata Mtu walau Mmoja Wa Tiss Basi hapa natoboa.
Wakuu msijifungie, msitutenge tunahitaji support yenu wajomba. Ipo maana kubwa Sana ya uwepo wa idara ya Usalama wa Taifa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2099]Nenda kwa mkuu wa majeshi
Hii ni tofauti na Tiss.MI (Military Intelligence)
Fika Maeneo Husika Kwa Msaada
Jamii forumNatamani tusitumie mifumo ya kizungu. Ma develooer wa kibongo sijui wanafanya nn sio wabunifu. Kama fb, twitter tunatakiwa na sisi tutumie za kwetu ili kulinda data zetu
Hawana tofauti sana na polisi ingawa huku kwenye mitandao wanakuzwaaa..Tiss wengi ni weupe kichwani
Majibu anaweza asipate kabisa au kama kibahati basi baada ya mwaka.Tuma barua kwa DG WA TISS
Hahah, hao watu kama uliyemtaja, ni janjajanja ya kujua kuongelea products za wazungu tu na kuwatafutia masoko, hakuna talent yoyote hapo sanasana wana exposure tu.Mfano leo USA wakitaka kutrack simu yako unayo tumia. Wana acess ya kila kitu ktk simu yako. Ukiwa online au ktk internet wanafanya chochote wanachotaka. Sasa fikilia ktk sehemu zetu nyeti za usalama. Uwo nmekupa tu mfano. Ma proffesor wetu wa IT wamegundua nn cha kuisaidia hiyo fani. Mm sijaona mpaka hapa nilipo fika. Kama wachina na warusi waliweza sisiatuwezi kushindwa. Tatzo siasa nyingi sana. Mm rafiki yangu yupo china wamemshikilia wanampa kila kitu maana yupo vizuri ktk mambo ya Programing. Alafu kuna mtu mmoja anaitwa yusuph kileo sijui yupo wapi siku hzi alikuwa pale DIT. Mzee wa cyber, talent nyingi wanachukuliwa na wazungu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah, hao watu kama uliyemtaja, ni janjajanja ya kujua kuongelea products za wazungu tu na kuwatafutia masoko, hakuna talent yoyote hapo sanasana wana exposure tu.
Yes wazungu wanawatumia ndio lakini si kuwatengenezea mifumo, la hasha, bali wanawatumia kuwatangazia bishara zao. Ikiwa hichi ndio unacholilia hapa, basi bado hujaelewa jinsi teknolojia inavyokimbizwa pamoja na fitna zake.
Niliwahi hudhuria semina moja iliandaliwa na hao/huyo uliyemtaja, semina ya siku 5 zote ni makampuni ya kizungu tu yalitangaza bidhaa zao kwa ajili ya Cyber Security, vitu kama Firewalls, Routers, Forensics tools nakadhalika, wadau ni makampuni ya IT na taasisi za serikali, hao watanzania wanachokijua ni concepts na kushawishi makampuni na taasisi kununia hizo bidhaa, in other words ni agents wa wazungu.
Unachokizungumzia wewe kwenye mada yako (Nzuri) ni Tanzania kama nchi ikae chonjo kwa kuandaa mifumo itakayotumiwa kama mbadala wa mifumo ya wazungu, well, naamini serikali inajua, sana tu, lakini hebu tuliangalia hili jambo kiuhalisia, unadhani ni rahisi?
Je wewe huo mfumo ulionao au ulioutengeneza hautumii frameworks/platforms/libraries za wazungu? Unajua hizo codes zinafanya nini in and out? Hardware utakazotumia ku deploy huo mfumo wako sio za wazungu? Unafahamu in details how they work when communicating? Unafahamu politics zilizopo kwenye biashara za kiteknolojia? Hivi Tanzania tuna huo uwezo?
Mi nadhani tunahitaji kua na sera pamoja na miongozo mizuri ya kudhibiti matumizi ya hii mitandao na tuwe wazalendo kufuata miongozo hiyo, ila kuwakwepa moja kwa moja wazungu kwenye mifumo yao bado tuna safari ndefu sana, na tunahitaji uwekezaji mkubwa mno.
Tiss wengi ni weupe kichwani na hovyo wanabebwa na wenzao wa headquarters
Zamani now ni headquartersMbona Kuna DSO NA RSO
Watumie hao mkuu